Media Coverage

Crime Si Poa in the Fight to Have a Crime Free Society

Wakaazi wa mitaa ya mabanda wapata uhamasisho kuhusu COVID-19

Huku hofu ya kusambaa kwa ugonjwa wa covid-19 ikikithiri, wale walioko kwenye mitaa ya mabanda wamejikakamua kutekeleza mikakati iliyowekwa na serikal ili kuzuia ugonjwa huo kuenea. Na kama anavyotuarifu raquel muigai, imekuwa ni jukumu la kila mtu katika mtaa wa kibra ambapo vijana wako mstari wa mbele kuwahamasisha wenyeji kuhusiana na ugonjwa huo.